Psalms 105:8-10


8 aHulikumbuka agano lake milele,
neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu,

9 bagano alilolifanya na Ibrahimu,
kiapo alichomwapia Isaka.

10 cAlilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:
Copyright information for SwhKC